🍛 النهى عن النفخ في الطعام والشراب ☕️
Katazo la kupuliza chakula na kinywaji
عن ابن عباس - رضي الله عنهما - قال:
Imepokewa kutoka kwa ibn Abbas Allah amridhie yeye na baba yake
نهى رسول الله صلى الله عليه وسلم عن النفخ في الطعام والشراب
Amekataza Mtume wa Allah swallah Allahu alayhi wasalam kupuliza katika chakula na kinywaji
📚 أخرجه أحمد وغيره
Ameipokea imaam Ahmad na wengineo
عن أبي هريرة رضي الله عنه أنه كان يقول:
Kutoka kwa Abuu Hureyra Allah amridhie amesema :
لا يؤكل طعام حتى يذهب بحاره
Hakiliwi chakula mpaka kiondoke moto wake.
📚 أخرجه البيهقي 14408
Ameipokea Imaam Albayhaqiy
✔ صححه الألباني في الإرواء 1978والصحيحة تحت حديث: 392
🎤 يقول الشيخ ابن عثيمين رحمه الله
Amesema sheikh Ibn Uthaimin Allah amrehem:
وذلك لأن الإنسان إذا نفخ ربما يحصل من الهواء الذي يخرج منه أشياء مؤذية أو ضارة، كمرض ونحوه،
Na hivyo hakika mwanadamu akipuliza (chakula) huenda pakapatikana kutoka katika hewa yake (inayotoka mdomoni) vitu vyenye kuudhi au vyenye madhara , kama vile maradhi .
إلا أن بعض العلماء استثنى من ذلك ما دعت الحاجة إليه،
Isipokuwa baadhi ya wanachuoni wamevua katika hayo yanayo hitajika kwa muda huo .
كما لو كان الشراب حارا ويحتاج إلى السرعة،
Kama chakula kikiwa cha moto na mtu ana haraka nacho .
فرخص في هذا بعض العلماء،
Wakaruhusu baadhi ya wanachuoni
ولكن الأَوْلَى ألا ينفخَ حتى لو كان حارًّا
Lakini kilichokuwa bora ni kutokupuliza (chakula au kinywaji) hata kama kikiwa cha moto
إذا كان حارًّا وعنده إناء آخر، فإنه يَصبُّه في الإناء ثم يعيده مرة ثانية حتى يبرد
Kikiwa cha moto na akiwa na chombo kingine hakika amimine katika chombo kisha arudishe mara ya pili mpaka kipoe.
📚 المصــــ📓ــــدر :
«شرح رياض الصالحين» [ 2/457]
Mfasiri: Abuu Fat'hiyya Khamisi Kiza (Allah amuhifadhi), Dodoma Tanzania 🇹🇿
http://t.me/manhajanbiyaa
No comments:
Post a Comment