Swali
Ni vipi mtu hutubia kwa ajili ya usengenyaji?
Jibu
Akiweza kumuomba msamaha, afanye hivo. Hii ni haki ya kiumbe na haianguki isipokuwa kwa yule msengenywaji kusamehe. Ama ikiwa hawezi kumtaka radhi amuombee du´aa yule msengenywaji, amuombee msamaha na kumsifu.
Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
No comments:
Post a Comment