Monday, 17 April 2017

Umuhimu wa elimu katika dini

















Imetubainikia wazi kabisa hawawezi kuwa sawa watu waliokuwa na elimu na watu wasio na elimu.Ni jukumu letu kutafuta elimu kwa hali na mali ili kuepuka kufuata itikadi zisizo sahihi katika dini na maisha ya kila siku.

Tutumie muda In Shaa Allah kusikiliza mawaidha yalipo hapo chini kwa ajili ya kupata faida kubwa na ukumbusho.

Bonyeza hapa kupata Mawaidha haya

No comments:

Post a Comment